Mpaka usiku huu Shirika la Reli Tanzania limesema ajali ya Treni iliyotokea January 2 2021 Bahi Dodoma imesababisha vifo vya Watu wawili pamoja na Majeruhi 66, hii video hapa chini ni hali ilivyo kwenye Hospitali ya General Dodoma.