Biashara ya watu wenye ulemavu, msako wa nyumba kwa nyumba wafanyika jijini Dar es Salaam ukiongozwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenye Ulemavu Ummy Nderiananga “Mtandao huu ni mkubwa wenye nyumba wanawachukua watu wenye ulemavu kutoka Vijijini wanawaleta Mjini wanachukua vijana wanawapa baiskeli wanawazungusha Mtaani waombe, tunafanya msako usiku kwa usiku hatulali”.