Kwa kujali Afya yako AyoTV na millardayo.com imefanya mahojiano na Dr. Fadhili Emily ambapo leo ametuelezea jinsi ya kutibu UTI sugu, ambapo Doctor ametuelezea namna inavyoambukizwa na jinsi ya kujikinga “ukithibitika una tatizo la UTI, jitahidi sana katika usafi wako, jinsi unavyojisafisha, unapobadilisha nguo za ndani na dawa unazotumia”.