Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar itahakikisha hakuwi na ubaguzi Zanzibar na kila mwenye haki anapata haki yake “Mkuu wa Mkoa ni CCM, na Mkuu wa Wilaya wewe ni kiongozi wa wananchi wote wa Pemba, sitegemei mtafanya kazi zenu kwa kupendelea”.