Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila, ametoa siku sita kwa wafugaji Wilayani Mbarali mkoani Mbeya kuondoa mifugo katika Hifadhi ya Bonde la Ihefu na Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA), kabla hawajachukuliwa hatua kali.