Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhokya akiendelea kumwomba Rais Dk John Magufuli kuwafikiria wafanyakazi nyongeza za mishahara wakati akitoa salamu za wafanyakazi kabla ya Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Waziri Mkuu ,Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama kufungua mkutano mkuu wa sita wa Chama Cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO) ulioendana na Uchaguzi mkuu wa viongozi ngazi ya Taifa ya Chama hicho.