Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya kwanza kitaifa katika mtihani wa kidato cha nne mwaka 2020, Paul Luziga (17) aliyekuwa akisoma Shule ya Sekondari Panda Hill ya Jijini Mbeya akiwa kwenye gari lenye paa la wazi huku akiwa amezungukwa na Walinzi alipofika Shuleni Panda Hill kwa lengo la kupongezwa na Walimu wake.