Mtoto Antony Petro aliye-trend kwa kumshtaki baba yake polisi akitaka kuuza shamba la familia mkoani Kagera na baadaye kupata mfadhili wa kusomeshwa bure wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro
Antony amesema pamoja nakufanya vizuri kwenye masomo ameweza kuwaombea wenzake watatu shuleni hapo ikiwemo aliyekuwa anaumwa mguu ambapo hadi sasa amepona kabisa.