Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu vipindi ya mvua vinavyoendelea katikati mikoa mbalimbali nchini ya kwamba vinatokana na mgandamizo mdogo wa Hewa katika Rasi ya Msumbiji.
Joyce Makwata ni Mchambuzi amesema ya kwamba mgandamizo huo umeweza kuvuta upepo wenye unyevu nyevu kutoka maeneo ya Magharibi mwa Tanzania hususani katika maeneo ya Misitu ya Congo pamoja na maeneo ya Kaskazini ambapo makutano hayo yamesabahisha mvua mbalimbali.
WAMILIKI WA MABASI WALALAMIKIA TIKETI MTANDAONI, WAOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI