Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Husssein Ali Mwinyi akizungumza na Katibu Mkuu Kiongozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi.Dkt. Bashiri Ally, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.