Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango leo anawasilisha taarifa ya Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Kiwango cha Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2021/22, kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni, Dodoma.