|
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai akiumwagilia mti alioupanda wakati wa zoezi la kupanda miti wilayani Kongwa lililofadhiliwa na Kampuni ya bia ya Serengeti. Wanaomshuhudia ni watumishi wa halmashauri ya Kongwa Pamoja na wananchi |
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai (kushoto) akiwahutubia wananchi wa wilaya ya Kongwa muda mfupi kabla ya kuanza kwa zoezi la kupanda miti ililifadhiliwa na kampuni ya bia ya Serengeti mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL Mark Ocitti
|
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mark Ocitti akipanda mti huku akishuhudiwa na Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai (aliyevaa kofia) Pamoja na watumishi wa Halmashauri ya Willaya ya Kongwa mkoani Dodoma. Zoezi hilo la upandaji miti lilifadhili na Kampuni ya Serengeti ikiwa ni sehemu ya jitahada zake za kusaidia utunzaji mazingira
|
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampouni ya Bia ya Serengeti Mark Ocitti wakiwa na miti tayari kwa ajili ya kuipanda ikiwa ni sehemu ya zoezi la upandaji miti lililofanyika wilayani Kongwa mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki. Zoezi hilo lilifadhiliwa na SBL
|
|