Hii ni habari ya nyuma kutoka kwenye Bunge la Katiba ambapo aliekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda aliomba watakaotia nia kumpa Mama Samia nafasi ya Umakamu wa Rais.Sasa hapa Ayo TV & Millardayo imekusogezea ujionee kile alichozungumza Makonda na pamoja na Rais Samia Suluhu kuhusu kauli hiyo.
NYUMBANI KWA MAGUFULI, RAIS MAMA SAMIA, MTOTO WA MAGUFULI WAONGOZA DUA