Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amevitaka Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Idara na Vitengo ndani ya wizara hiyo kuzingatia kanuni na maadili katika kuwahudumia wananchi.
Ameyasema hayo wakati akifungua Kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa wizara hiyo lililofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa jijini Dodoma.