NI Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo ambapo leo asubuhi amefanya kikao cha hadhara na wananchi wa kitongoji cha Sanze pamoja na viongozi wa kitongoji na kata kujadili maendeleo ya Elimu kwenye kitongoji cha Sanze, Kisarawe
Kwa mujibu wa Mkuu huyo wa wilaya akizungumza na millardayo.com & Ayo TV alisema…..’Niliwapongeza wananchi kwa kumaliza ujenzi wa vyumba vya madarasa na ofisi za walimu kwa wakati na kwa viwango vya juu kabisa, Nafurahi sana na kufarijika kuona ushirikiano mzuri kati ya wananchi na viongozi wao. Kwa pamoja tutakwenda mbali zaidi kufikia maendeleo tunayoyatazamia’- DC Jokate Mwegelo
UKALI WA DC JOKATE ALIVYOAGIZA WATUMISHI WA TANESCO KUPELEKWA RUMANDE ‘SINA HURUMA/WANAPENDA RUSHWA’