Leo hii tunakusogezea video ambayo inaonyesha eneo linaloitwa Kariakoo mkoani Arusha, ambapo ni maarufu sana kutokana na kuwepo kwa wingi wa watu kutokana na biashara zinazofanyika.
Tukiwa tunaelekea katika sikukuu ya IDD tumekutana na wafanyabiashara pamoja na wanunuzi wa vitu mbalimbali katika eneo hilo nakueleza jinsi walivyojipanga kwa siku ya leo.
“hili ni eneo maarufu kibiashara kama unavyoona kumechangamka,baada yakupata fursa ya biashara panaitwa kariakoo maana shughuli nyingi za kibiashara zinafanyika maeneo haya,hali ya kibiashara kidogo imechangamka kwa wiki hii kutokana na sikukuu” Almasi Mwacha
PADRI ATOA SOMA KWA WANANDOA,ULEVI WATAJWA “MWANAUME ANATAKIWA AONE CHA ZIADA”