Mahakama ya mwanzo wilayani Arumeru mkoani Arusha, imevunja ndoa ya kijana wa kitanzania Emmanuel Tomas na Ute Mathilde raia wa ujerumani baada ya mwanaume kuomba talaka mahakamani kwa madai mbalimbai ikiwemo kumkuta na vijana nyumbani kwake pamoja nakuwadharau watoto na mwanamke aliyezaa naye watoto.
Emmanuel amesema hajawahi kuzaa mtoto na mwanamke huyo na hajawahi kuchuma mali naye nakusema mahakama baada yakuvunja ndoa hiyo hapakuwa na mgawanyo wowote wa mali bali mdaiwa anapaswa apewe hati ya talaka.
https://www.youtube.com/watch?v=JY0nDWaBRPk&t=24s