Mahakama imemhukumu aliyempiga kofi Rais Emmanuel Macron usoni siku kadhaa zilizopita kifungo cha miezi minne. Mwendesha Mashtaka amesema alichofanya Damien Tarel (28) hakikubaliki na kilikuwa kitendo cha makusudi cha ghasia
Rais Macron (43) alisema hakuamua kuchukua hatua za kisheria na badala yake aliamua kuliacha suala hilo kushughulikiwa na chombo husika.
MKE WA TB JOSHUA AFICHUA MWANZO MWISHO ALIVYOFARIKI, ALIOGA, IBADANI, AKAFIA CHUMBA MAALUM