Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Dkt. Adesina Akinumwi amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa benki hiyo itaendelea kufadhili miradi ya maendeleo hapa nchini na ipo tayari kufadhili miradi mipya kwa kuwa Tanzania ina sifa za kuendelea kupata ufadhili.
Tazama Rais Samia akiongea na simu na Rais wa AFDB (+video)
Leave a comment
Leave a comment