Bunge leo June 15 2021 limeendelea Kujadili Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2020 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022. na makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022. hawa ni baadhi ya wabunge waliosimama leo na kutoa michango yao.
POLEPOLE ASHUSHA NONDO NDANI YA BUNGE, AZUNGUMZIA MBINU ZA KUKABILIANA NA CORONA MWAKA JANA