Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo tarehe 19 Juni, 2021 amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya katika Mikoa ya Tanzania Bara kama ifuatazo:-
Mkoa wa Arusha (1).
- Sophia Edward Mjema kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha.
- Eng. Richard Henry Ruyango kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru.
- Raymond Stephen Mangwala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro.
- Nurdin Hassan Babu kuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido.
- Frank James Mwaisumbe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli.
- Abbas Juma Kayanda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu.
Mkoa wa Dar es Salaam (2).
7.Godwin Crydon Gondwe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.
- Ng’wilabuza Ndatwa Ludigija kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala.
- Jokate Urban Mwegelo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.
- Fatma Almas Nyangasa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni.
- Kherry Denis James kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo.
Mkoa wa Dodoma (3).
- Gift Isaya Msuya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chamwino.
- Jabir Mussa Shekimweri kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma.
- Simon Kemori Chacha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chemba.
- Khamis Athumani Mkanachi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kondoa.
- Mwanahamisi A. Munkunda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bahi.
- Josephat Paul Maganga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa.
- Remedius Mwema Emmanuel kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa.
Mkoa wa Geita (4).
- Said Juma Nkumba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukombe.
- Eng. Charles Francis Kabeho kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe.
- Jamuhuri David William kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale.
- Wilson Samwel Shimo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Geita.
- Martha John Mkupasi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chato.
Mkoa wa Iringa (5).
- Saada Ahmed Mtambule kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mufindi.
- Peres Boniphace Magiri kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilolo.
- Mohamed Hassan Moyo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa.
Mkoa wa Kagera (6).
- Kemirembe R. Lwota kuwa Mkuu wa Wilaya ya Biharamuro.
- Juliet Banyula Nkebanyi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karagwe.
- Toba Alnason Nguvila kuwa Mkuu wa Wilaya ya Muleba.
- Rashid Mwaimu Mohamed kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa.
- Moses Joseph Machali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukoba.
- Col. Mathias Julius Kahabi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ngara.
- Col. W.C. Sakullo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Misenyi.
Mkoa wa Katavi (7).
- Filberto Hassan Sanga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mlele.
- Jamila Yusuph Kimaro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpanda.
- Onesmo Mpuya Buswelu kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika.
Mkoa wa Kigoma (8).
- Ester Alexander Mahawe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma.
- P 8608 Col. I. A. Mwakisu kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kasulu.
- Col. E. M. Malasa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kakonko.
- Hanafi Hassan Msabaha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza.
- Col. Michael Masala Nyayalina kuwa Mkuu wa Wilaya ya Buhingwe.
- P 8310 Col. A. J. Magwaza kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibondo.
Mkoa wa Kilimanjaro (9).
- Thomas Cornel Apson kuwa Mkuu wa Wilaya ya Siha.
- Said Mtanda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi.
- Abdallah Mussa Mwaipaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mwanga.
- Col. H. M. Maiga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rombo.
- Juma Said Irando kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai.
- Edward Jonas Mpogolo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Same.
Mkoa wa Lindi (10).
- Hashim Abdallah Komba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea.
- Hassan Nassor Ngoma kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa.
- Judith Martin Nguli kuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale.
- Shaibu Issa Ndemanga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Lindi.
- Zainab Rashid Mfaume Kawawa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilwa.
Mkoa wa Manyara (11).
- Lazaro Jacob Twange kuwa Mkuu wa Wilaya ya Babati.
- Sezaria Venneranda Makota kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbulu.
- Janeth Peter Mayanja kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hanang
- Mbaraka Alhaji Batenga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kiteto.
- Dkt. Suleiman Hassan Serera kuwa Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro.
Mkoa wa Mara (12).
- Juma Issa Chikoka kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rorya.
- Dkt. Vicent Mashinji kuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti.
- Joshua Samwel Nassari kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda.
- Mwl. Moses Rudovick Kaegele kuwa Mkuu wa Wilaya ya Butiama.
- Lt. Col. Michael Mangwela Mtenjele kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tarime.
- Dkt. Halfan Haule kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma.
Mkoa wa Mbeya (13).
- Mayeka Simon Mayeka kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chunya.
- SACP. Ismail Twahir Mlawa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyela.
- Dkt. Rashid Chuachua kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya.
- Dkt. Vicent Naano Anney kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rungwe.
- Reuben Ndiza Mfune kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbarali.
Mkoa wa Morogoro (14).
- Jabir Omary Makame kuwa Mkuu wa Wilaya ya Gairo.
- Hanji Yusuph Godigodi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilombero.
- Halima Habib Okash kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero.
- Albert Msando kuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro.
- Ngollo Ng’waniduhu Malenya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga.
- Majid Hemed Mwanga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa.
- Mathayo Francis Masele kuwa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi.
Mkoa wa Mtwara (15).
- Mwangi Rajab Kundya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Newala.
- Mariam Khatib Chaurembo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu.
- Dunstan Dominick Kyobya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara.
- Claudia Undalusyega Kitta kuwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi.
- Col. Patrick K. Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba.
Mkoa wa Mwanza (16).
- Hassan Elias Massalla kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela.
- Johari Mussa Samizi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kwimba.
- Senyi Simon Ngaga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sengerema.
- Amina Makilagi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana.
- Salum Hamis Kalli kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu.
- Col. Denis Filangali Mwila kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe.
- Veronika Arbogast Kessy kuwa Mkuu wa Wilaya ya Misungwi.
Mkoa wa Njombe (17).
- Kisa Gwakisa Kasongwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe.
- Andrea Axwesso Tsere kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ludewa.
- Lauter John Kanoni kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe.
- Juma Samwel Sweda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Makete.
Mkoa wa Pwani (18).
- Zainab Abdallah Issah kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo.
- Khadija Nassir Ali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga.
- P 10699 Capt. Gowelle kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji.
- Martin Stephen Ntemo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mafia.
- Sara Ally Msafiri kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha.
- Nickson Simon John kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.
- P 8189 Col. Ahmed A. A kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibiti.
Mkoa wa Rukwa (19).
100.Sebastian Muungano Waryuba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga.
- Peter Ambrose Lijuakali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nkasi.
- Tano Seif Mwera kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo.
Mkoa wa Ruvuma (20).
- Julius Keneth Ningu kuwa Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo.
- Aziza Ally Mangosango kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbinga.
- P 8819 Col. L. E Thomas kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyasa.
- Julius Sunday Mtatiro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru.
- Polotet Kamando Mgema kuwa Mkuu wa Wilaya ya Songea.
Mkoa wa Shinyanga (21).
- Joseph Modest Mkude kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kishapu.
- Jasinta Venant Mboneko kuwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga.
- Festo Kiswaga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama.
Mkoa wa Simiyu (22).
- Gabriel Zakaria Olemegili kuwa Mkuu wa Wilaya ya Busega.
- Aswege Enock Kaminyoge kuwa Mkuu wa Wilaya ya Maswa.
- Dkt. Charles Mhina kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bariadi
- Fauzia Hamidu Ngatumbura kuwa Mkuu wa Wilaya ya Meatu.
- Faiza Suleiman Salim kuwa Mkuu wa Wilaya ya Itilima.
Mkoa wa Singida (23).
- Sophia Mfaume Kizigo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkalama.
- Rahabu Jackson Mwagisa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Manyoni.
- Paskasi Damian Murangili kuwa Mkuu wa Wilaya ya Singida.
- Jerry Cornel Muro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ikungi.
- Kenan Laban Kihongozi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Iramba.
Mkoa wa Songwe (24).
- Simon Peter Simalenga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Songwe.
- Anna Jerome Gidarya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ileje.
- Cosmas Isuna Nshenye kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi.
- Fack Raphael Lulandala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba.
Mkoa wa Tabora (25).
- ACP. Advera John Bulimba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega.
- Matiko Paul Chacha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaliua.
- Sauda Salum Mtondoo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Igunga.
- John Ernest Pallingo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sikonge.
- Dkt. Yahya Ismail Nawanda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora.
- Louis Peter Bura kuwa Mkuu wa Wilaya ya Urambo.
- Kisare Matiku Makori kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uyui.
Mkoa wa Tanga (26).
- Hashim Shaibu Mgandilwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga.
- Halima Abdallah Bulembo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Muheza.
- P 8576 Col. M. H Surumbu kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkinga.
- Ghaibu Buller Lingo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Pangani.
- Siriel Mchembe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni.
- Basilla Kalubha Mwanukuzi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe.
- Abel Yeji Busalama kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilindi.
- Kalist Lazaro Bukhay kuwa Mkuu wa Wilaya ya Lushoto.