Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imetolea ufafanuzi wa fedha zaidi ya Bil. 600 inayotozwa kwenye mitandao ya simu inavyokwenda kutekeleza miradi ya maendeleo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Ummy Mwalimu.
Amesema Fedha hizo zinakwenda kutekeleza miradi ya Elimu,Afya ya Msingi na Miundombinu ya barabara Waziri Ummy amesema shilingi Billion 125 zinatarajia kukamilisha maboma 10,000 ya shule za msingi na Sekondari,Billioni 200 kukamilisha maboma ya zahanati 900 pamoja na vifaa tiba na Billioni 322 ujenzi wa barabara na madaraja.