Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa amesema imefikia wakati kwa Wilaya ya Ilala igawanywe ili ipatikane wilaya ya Ukonga, kama ilivyofanyika katika Wilaya nyingine.
Akizungumza wakati wa kuzindua Shule ya Sekondari ya Kipunguni B iliyopo Ukonga ambayo aliahidi kuijenga wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.