Askari wa Upelelezi katika kituo Kikuu cha Polisi, Constable James Shahidi wa 11 wa upande wa Jamhuri katika Kesi ya Unyang’anyi wakutumia Silaha inayomkabili aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya hai Lengai Ole Sabaya na wenzake , amewasilisha picha zilizozopigwa na Askari zikionyesha jinsi Bakari Msangi alivyokuwa na Majeraha.
MKE WA DIWANI AKANA SABAYA KUMPIGA MUME WAKE “ALIFICHA SEHEMU ZA SIRI”
INSPEKTA WA POLISI KWENYE KESI YA SABAYA AELEZA ALIVYOFANYA GWARIDE LA UTAMBUZI