Kutokea Chuo cha Ufundi Arusha wameshare na sisi miradi ambayo wamekuwa wakiifanya mmojawapo ni huu wa uundaji wa Helkopita na shughuli hii ilianza tangu mwaka 2015 na inatarajiwa kukamilika mwakani 2022.
Injinia Abdi Mjema ni mmoja wa mafundi ambaye pia ni mkufunzi wa chuo hicho ameshiriki utengenezaji wa Helkopita hiyo anasema asilimia 70 ya malighafi wamenunua kwenye maduka ya hardware hapa nchini na Injini wameagiza kutoka nje.
MENEJA ALIYEMTOA ALIKIBA, DIAMOND AFUNGUKA “BONGO FLEVA ITAPOTEA, WANATUMIA MITANDAO”
BAISKELI YA MILIONI 2.5 INAYOTUMIA UMEME WA JUA IMETENGENEZWA ARUSHA