AyoTV imeinasa video ikionyesha aliyekua Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili walivyofikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo ambako hukumu yao juu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inatarajiwa kutolewa….. video hii hapa chini inayo taarifa kamili.