Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongela amemtaka kamanda wa Polisi Arusha Justine Masejo kuwakumbusha askari wanaochafua jeshi hilo kwa kula rushwa kupunguza lawama zinazotolewa na Wananchi kuhusu askari hao.
MUROTO AFUNGUKA SABABU ZA KUTUMIA MISEMO YA KIPIGO CHA MBWA KOKO NA WATAPATA TABU SANA