Shirika la Umme nchini TANESCO limetangaza upungufu wa uzalishaji wa umeme MW 345 ambayo ni Asilimia 21 iliyotokana na upungufu wa maji katika mito na mabwawa na hivyo kuathiri uzalishaji wa umeme katika vituo vya kuzalisha umeme vinavyotumia maji.
Athari kubwa imetokea katika vituo vyetu vya Kihans, Kidatu, na Pangani