Watu sita wamefariki Dunia maara baada ya kula samaki mwenye sumu aina ya Kasa na Jumla ya watu 63 Wamefikishwa Hospitali ya Micheweni Huko Kisiwani Pemba kaskazini shehia ya Msuka.
“Inavyosemekana mbali ya sumu alokuwa nayo ,watu sasa hivi wanawatia sumu ili watu wasiwavue ni vyema tusidanganye kuwatoa baadhi ya maeneo ya mwili wake kama itasababisha kumla kasa salama cha msingi tuache tabia hizo ili watu waweze kunusurika”-–Juma Sadi Khamiss Kamanda Kaskazini Pemba