Shahidi wa 13 wa kesi ya Uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya na wenzake sita.
Mahakama imeelezwa namna Sabaya alivyowagaiwa vijana wake Milioni 90 alizochukua kwa Mfanyabiashara Francis Mroso ili asimfungulie kesi ya Uhujumu uchumi au kumpoteza.