Mtoto Leonard Morisha Mwenye umri wa Miaka 11 Mkazi wa kijiji na kata ya Ngemo Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita ambaye alifariki June 27, 2017 katika Hospitali ya Geita na kuzikwa, anadaiwa kufufuka ikiwa imepita miaka 5 huku akiwa amekamatwa ulimi.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Kamishina Henry Mwaibambe anaelezea.