Leo December 28, 2021 zoezi la kufukua miili ya watu katika makaburi ya Vingunguti Butiama kuhamisha katika makaburi mapya ya Mwanagati limeendelea katika siku ya pili baada ya kuanza siku ya jana hii inatokana na eneo hilo kukumbwa na mmomonyoko wa udongo unaotokana na Mto Msimbazi ambao unauongezeka kila msimu wa mvua kali hali inayopelekea miili ya baadhi ya watu waliozikwa sehemu hiyo kusombwa na maji.
“