Baada ya mkoa wa Njombe kutajwa miongoni mwa Mikoa 5 iliyofanya vibaya katika kuhamasisha chanjo ya Uviko-19 ,hatimae timu ya wataalamu imekuja na mbinu ya kupita kwenye magulio( minada) na kwenye vilabu vya pombe za kienyeji kutoa elimu kupitia mpango wa awamu ya pili harakishi na shirikishi wa chanjo ili kuhamasisha huduma hiyo
Katika Kijiji Cha Itunduma, Wangama na Kichiwa timi hiyo imetoa elimu na kisha kuvutia watu kuchanja huku maswali mengi yakitoka upande wa wanywaji kwamba wanaweza kuchanja wakiwa wamekunywa.
SAKATA LA ASKOFU MWINGIRA KUTAKA KUUAWA MARA TATU, WAZIRI SIMBACHAWENE AMKABIDHI KWA POLISI