Mwanamke mjamzito nchini Israel ambaye hakupata chanjo ya corona amegundulika kuwa na mchanganyo wa mafua (flu) na corona ambayo yanaitwa ‘Flurona’
Mchanganyo wa magonjwa hayo umetajwa kuwa hatari zaidi kwa kuwa maradhi yote yana athari katika mfumo wa upumuaji
Mkuu wa Kitengo cha Matibabu kwa wanawake Prof. Arnon Vizhnister kwa sasa wanakutana na wanawake wengi wajawazito wenye dalili za mafua.