Dr. Tulia Ackson amejiuzulu nafasi ya Naibu Spika baada ya kuteuliwa na chama chake kugombea nafasi ya Uspika.
Taarifa yake ya kujiuzulu imetolewa na Katibu wa Bunge mbele ya wabunge leo asubuhi na kinachoendelea muda huu ni uchaguzi wa Spika ambapo wagomea tisa wanajinadi mbele ya wabunge.