Ukimuona ni mtoto mchangamfu ambaye huwezi dhani anayo kasoro , kumbe Abelado ana ulemavu wa macho yaani jicho lake moja lina upofu.
Madaktari wamemuambia mama yake kuwa, tatizo la jicho moja limeambukiza la pili hivyo anatakiwa kutolewa macho yote mawili, awe na upofu maisha.
Madaktari hawajaishia hapo wakamwambia Mwanae Abelado ana uvimbe ambao unakua taratibu hivyo asipopata matibabu anaweza kuwa kichaa au kufariki ghafla.
Kuokoa maisha yake anatakiwa kwenda kutibiwa Uturuki na uwezo hana anahitaji msaada: Kumchangia 23310006282 Judith Stephen Mollel NMB account Namba 0764453320 Vodacom jina Judith Stephen Mollel.