Mwili wa Issa Binai ambaye anadaiwa kuuawa na mlinzi mwenzake na kisha kichwa chake kupotea na kisha baadaye kupatikana katika shule inayomilikiwa na mstahiki meya wa jiji la Arusha Maxmillian Irange umezikwa leo Arusha ambapo mtoto wa marehemu kaongea maneno ya mwisho aliyoongea na baba yake.