Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kumuapisha Mhe. Dkt. Angeline Mabula kuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 09 Februari, 2022.
Sasa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akatumia nafasi hiyo pia kumkaribisha Mkurugenzi mpya wa Mawasiliano Ikulu Zuhura Yunus.