Ni headlines kutokea mkoani Morogoro ambapo kata ya Kilakala Manispaa ya Morogoro wameingia katika vichwa vya habari baada ya familia ya Mzee Gervas Chondoma Mkoba kuchukua mwili wa mtu mwingine na kuuzika wakidhani kuwa ni ndugu yao ambao mwili wake ulihifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya rufaa ya mkoa wa morogoro.
Ayo TV & Millardayo.com imempata ndugu wa Marehemu akielezea sababu za kufukua Kaburi na kuutoa Mwili.