Ikiwa ni miezi kadhaa tangu kupotea kwa vijana watano ambao mpaka sasa hawajulikani walipo, sasa Jeshi la Polisi kupitia ACP Jumanne Muliro amezungumza na Vyombo vya Habari kinachoendelea kwasasa.
Unaweza ukabonyeza play kufahamu kile alichozungumza ACP Jumanne Muliro.