Bunge limeendelea na vikao jijini Dodoma na mjadala ulikuwa kuhusu taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Taarifa ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) kuhusu Shughuli za Kamati kwa Mwaka 2021