Ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ambae leo FEB 21, 2022 amefanya mahojiano katika kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa Clouds FM.
Miongoni aliyoyazungumza ni kuhusiana na kutuoneshwa kwa matangazo ya live yanayohusu Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Kwa mfano ikatokea wabunge wanarushiana maneno machafu bungeni (hatuombei) na tumeona baadhi ya wabunge ya wenzetu wanapigana sasa vitu kama vile havipeleki sura nzuri, kupeleka dakika 15 au nusu Saa sio mbaya lakini isipitilize na kuwe na utaratibu kwamba kama kuna jambo fulani la kujadili na wabunge wakaona linafaa tu kujadiliwa ndani. Suhuhisho ni kanuni ya kuendesha studio ya bunge ambayo ni kazi ya bunge” Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
BILLNAS APIGA MAGOTI NA KUMVISHA PETE YA UCHUMBA NANDY MBELE YA WAZAZI WAKE ‘MAHARI MILIONI 10’