Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la kuwepo kwa upepo mkali leo Feb 23, 2022 unaofikia Kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2.0 kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya Bahari ya Hindi (Mikoa ya Lindi, Mtwara, Tanga, Dar es salaam na Pwani ikijumuisha Visiwa vya Mafia, pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.
“Athari zinazoweza kujitokeza ni kuathrika kwa baadhi ya shughuli za usafirishaji na uvuvi, kuanguka kwa miti midogo na kukatika kwa matawi ya miti mikubwa, tafadhali zingatia na ujiandae”
RAIS SAMIA AMJIBU ASKOFU NIWEMUGIZI “HIYO SI TABIA YANGU,NAJITAHIDI KUJISHUSHA