Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergey Lavrov ameonya kwamba iwapo vita ya tatu ya dunia itatokea, silaha za nyuklia zitatumika na kutakuwa na uharibifu mkubwa.
Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu taarifa zaidi.
KOREA KASKAZINI YAMUUNGA MKONO PUTIN, TANZANIA YASIMAMA KATIKATI, KENYA YASIMAMA NA UKRAINE