Ubalozi wa Tanzania uliopo Stockholm Sweden pamoja na Ubalozi wa Tanzania uliopo Moscow, Urusi zimetoa taarifa kwa Wanafunzi wa Kitanzania walioko kwenye Mji wa Sumy nchini Ukraine kwamba kupitia njia ya kidoplomasia Serikali ya Urusi imeridhia Wanafunzi walioko Sumy State University kutoka Ukraine kwa kupitia mpaka wa Urusi.
Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia taarifa kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.
MWILI WA MJAMZITO WAFUKULIWA, WAKUTWA KIZAZI KIMEPASUKA “ALIPIGWA NA MUMEWE”