Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Hussein Ali Mwinyu Machi 8, 2022 alifanya Mabadiliko katika Baraza la Mapinduzi.
Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia taarifa kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.
RAIS WA UKRAINE AIBUA MAPYA ‘VIKUNDI MAALUM VILITUMWA KUNIUA MIMI NA FAMILIA YANGU, BIDEN KUSAIDIA’