Kijana Patrick Mmasi anayetuhumiwa kumuua mama yake na kisha kuutumbukiza mwili huo kwenye shimo la choo nyumbani kwao njiro Arusha.
Amefikishwa Mahakamani leo huku kesi yake ikitajwa ambapo wakili wa Serikali Neema Mbwana amesema upelelezi haujakamilika.
Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia taarifa kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.
MWANAJESHI WA MAREKANI MWENYE ASILI YA TANZANIA AFUNGUKA “BONGO FLEVA INATUFARIJI’ AMTAJA DIAMOND