NI aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda ambapo leo April 11, 2022 ameyaandika ya moyoni na kudaiwa kuna watu wanataka kumuua yaani kupoteza uhai wake.
Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea Stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi