Rais Vladimir Putin ameliamuru April 21, 2022 Jeshi la Urusi kufuta mipango ya kukivamia kiwanda cha chuma ndani ya mji wa bandari wa Mariupol ambako maelfu ya Wanajeshi wa Ukraine na Raia wamejificha.
Putina amesema “Hakuna haja ya kupanda kwenye makaburi haya na kutambaa chini ya ardhi kupitia vituo hivi vya viwanda badala yake Wanajeshi wa Urusi zibeni eneo hili la viwanda ili hata inzi asitoroke”
Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia taarifa kamili unaweza ukabonyeza play