Watu wanne wakiwemo Polisi wawili na Watuhumiwa wawili wamefariki dunia na Watu wengine wanne wamejeruhiwa baada ya kupata ajali eneo la kijiji cha Ibanda Barabara ya Geita kuelekea Sengerema iliyohusisha gari la Polisi na lori.
RPC wa Geita, Henry Mwaibambe amesema chanzo cha ajali hiyo ni kukatika kwa usukani wa gari la Polisi na kupelekea kukosa uelekeo na kuligonga lori lililokuwa mbele yao.
Stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi